Special 2019 Conference Rates for Tanzanian Nationals


Kama wewe ni raia wa tanzania unaweza kustahili punguzo la bei za mikutano:

  • 250USD kwa kila mwakilishi wa kampuni ya binafsi
  • 150USD kwa kila mwakilishi wa taasisi ya Serekali ya Jamhuri ya Tanzania au Shirika la Wakulima.

Malipo kwa shilingi za Tanzania yatawezeshwa pia. Tafadhali wasiliana moja kwa moja:  aca@africancashewallliance.com kudhibiti usajili wako. Asante sana!


If you are a Tanzanian national you can qualify for reduced conference rates:

  • 250 USD per representative of a private company
  • 150 USD per representative of a Tanzanian government institution or farmer cooperative

Payments in Tanzanian shillings will also be made possible. Please directly contact aca@africancashewallliance.com to secure your registration. Asante sana!